His name is Alex. Stage name, Lexas Mshairi. This mjango has been a wonder ever since I first saw him perform before an audience of about 2000 peeps. I was a photographer in that event. I had to stop capturing moments when I heard rhymes, puns and punch lines streaming from the speakers. He has a heart of an artiste. He is the Prince of Open Mic; Spoken Word. Nothing much to say today, just be inspired mjango.
So here is are his two poetic head to head pieces:
…Aaaam….
…..twende….
…
Hauskii ni kama kila mtu hii dunia ashaageuka FISI…✋
Ndo maana unaskianga “Kuna watu wa kila HYENA.””.(aina)..
…
Ngozi ni ya KONDOO…Kumbe ndani MBWA_MWITU…JITU la MSITU…
Gloves ni za CHUI kama huJUI…
Walai naeza kuprove_ia… wamevaa scarf ya VULTURE
Juu walai.. Design izo shingo zi hugeuka wakiona mtoto wa KUKU….(.CHIQs..).???..
..
“??…KUKU KAPANDA BAISKELI ???..BATA KA…??????…”
Binadamu washaageuka WANYAMA… Ndo maana kila mtu jina ya wengine ni kama VICTOR___??_WANYAMA
Wanapiga wasichana KISWAHILI… Lakini miSTER… Si nakumbuka vizuri tukiwa shule io subject kwako ilikua Tongue_twiSTER
Wanaclaim wakona MISTARI… and yet walilemewa kupanga ile ya kuingia VCT….
Uliza MATIANG’I, si walipata D-… lakini bado kwa madem ma_graduate ukiwauliza watakushow..”He is the GOVERNOR of my Heart”…??
Lugha wanayo ya Kutoa NYOKA PangoNi…Je watashindwa aje na kuchocha huyo TauSI… kwamba watafanya haruSI..alaf wakishaam_ambukiza viruSI..wanamfukuza na matuSI….
….
…naam….
…
….
….CONTINUES…
…
Words nitasema leo sijui kama ni wengi wataelewa… Ayya twende…
Nilizaliwa Ku_Speak sikuzaliwa Ku_Spit juu mm Si spiTER
Na mtu yoyote akisema niko_High?.niko MAJI.
Basi nitamwambia my real name si Lexas… naitangwa Simon PETER…
“?nani alitembea juu ya Maji. Nani alitembea juu ya maji.??.. Ni Yesu mwana wa MuNGU..?..”
appetiser?
Okay
Twende…
Kama TIME is MONEY basi si ma_WATCH_MEN wanafaa kua the RICHEST_men in the world…
? “I will do anything for money”… ebu toka nje uskie hio street_code?..
Kila mtu anadai kukua BALLER…
Me nishakua poet but in case ukiniuliza, “what do you want to be when you grow up?” Ntakushow.”I just want to be like Messi.
Yule foot_BALLER_…?
Wanasema kuishi ghetto nikua Off_Side…
Na hio ndo the new blown whiSTLE.
Wanasema education haisaidii… So vitu kama volumetric flask, beaker na thiSTLE_FUNNEL… zinafanya kukuchimbia TUNNEL.
Hawajui hizo P2 wanadanganya wasichana nazo ni a CHEMISTRY_CHANNEL…
SocieTY… imeingiwa na a permanent Dental_caviTY… Yenye hadi COLGATE haiwezi tibu juu inafocus on the ANAMEL inasahau na the ROOTS..(..This fake society inatu_GRIND and CHEW…)
Please God niongezee CARBOHYDRATES ndo nipate ENERGY ya ku_Speak…sijali! Let me use all my SALIVA… Juu nikikubali itumike kwa hii society’s DIGESTION… Naona tu yote ikienda kwa RECTUM…
Juu hadi nikue na degree… badala ya kuput into USE… Nitafanya kuitumia in forming the word..USELESS…
Na_USE_LESS of my brains and the rest nategemea Society i_instil MORALS into me..
It is high time tupitie kwa OPTICIAN… cause sijui Kama hizi macho zetu zinaona…
#powerofspokenword
IG/ Facebook: #@Lexas_mshairi?
Dope shit bruv
this guy is a beast…am his biggest fan
lexas reach for the stars bro
Nice
this guy is a real spoken word wizard ..
he has really used his portions well,I loved this blog ?